Mimi nipo huku kwenye ukanda wa ziwa tanganyika,huku pia kuna sangara lakini kama unavojua hili ziwa lina maji chumvi ,hicho kinaweza kua kikwazo kwenye hii biashara,namaanisha samaki wa kwenye maji chumvi mabondo yao pia yananunulika ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.