Recent content by Omary ngunde

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu pm bet kweny with draw airtel money mbona akuna unatoaje pesa.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na miss ligi zote ziludi mzigoni hii ligi ya uingereza itatufilisi *****
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah nilikuwa na wasi wasi nae sana huyu fala ningejua nisinge mpa
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tufe wote mkuu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kisicho liziki hakiliki ata kwa mikiki
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole mkuu tupo wengi
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Viunzi vyote nane karuka kanjii daaaah bad day
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chelsea bhana
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Spurs chonde jamani na mtaji wangu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu leo nimeweka viunzi nane kanji akiviluka vyote ivyo nastaafu kubet mpaka mwezi wa pili
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wafate kweny account yao Facebook watakujibu chap na watashughulikia tatz lako
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dah betpower toka juz wameniandikia ivi mimesubili matoke nimechoka nisaidieni wakuu iliyowahi kumtokea hii kitu
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo vilio vimepungua humu ndani! kweli xiku azifanani ngoja nimsalimie kanji lamastee babujii
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa mkuu
Back
Top Bottom