Recent content by omary bashiru

  1. O

    TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Hahahah, wafanya biashara awapendi kilipa kodi. Wakati kamuajiriwa nakamshahara kake walaki3 kila mwezi lazima kodi ikatwe akuna kuchepuka wala nitapeleka kesho.
  2. O

    TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Ila tusiwe wanafki swala lakodi wafanya biashara wengi wanalikwepa mukumbuke kipindi jpm anaingia kwa madaraka company nyingi zilikutwa azilipi kod ilipelekea company nyingi kufungwa na watu kupoteza hajira [emoji117] lakin waliokuwa wanalipa kodi bila kushurutishwa maisha hayakua magumu mfano...
  3. O

    TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

    Abebe na familia yake alafu uwone kma taifa litayumba wabongo bana.
Back
Top Bottom