Serikali ya Tanzania kupitia mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) wamekuwa wakitoa ripoti kunako mahesabu ya mwaka katika nyanja mbali mbali na kufanikiwa kubaini makamilifu katika sekta mbali mbali Hali kadhalika na madhaifu katika sekta mbali mbali hapa nchini kunako mahesabu ya fedha za...
MAWAZO YANGU JUU YA VIONGOZI WANAOCHAGULIWA NA WANANCHI.
Katika nchi yetu Kuna jopo kubwa Sana la viongozi ambao huingia madarakani kupitia kuchaguliwa na wananchi ambao viongozi hao ni wenyeviti wa vijiji, madiwani na wabunge . Viongozi hawa hushika madaraka wakiwa na jukumu kubwa la...
MAONI JUU YA SERA YA "KATA MTI PANDA MTI"
Serikali ya Tanzania ilianzisha sera yenye kauli mbiu ya KATA MTI PANDA MTI kwa lengo la kuzuia ukataji wa miti hovyo ili kuweza kupambana na mabadiliko mbali mbali ya tabia ya nchi yanayoweza kujitokeza .
NINI MCHANGO WA SERA HII ?
Kwa upande wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.