Kaka mchakato wowote wa maendeleo una maumivu ndani yake, inawezekana kabisa ongezeko la tozo na kupanda kwa gharama za maisha ni chumvi kwenye vidonda vya watanzania walio wengi lakini ikiwa kama tozo hizo zinatumika kuboresha elimu, Afya, Miundo mbinu, Umeme, Maji, Kulipa madeni ya Taifa n.k...