Zitapokelewa wote sifa mnazo tatzo kuna wenzenu waliofika makao makuu kuna taarifa waliandika ndo hiyo shida hakuna mtu wa kukuandikia barua yako ikifika
Kaka RTs kihangaiko inahitajika waende 3500 afu RTs ya longido wanatakiwa zaidi ya 2500 na ushee, though huwa wanachukua jumla ya watu 5000 lakini this term wameongeza kwa sbb ya political agenda next year ni general election Nd maana wameongeza watu na sio Tu wizara ya ulinzi sector zote...
😂 Sema wakuu ronja zinasema kozi inatakiwa kuanza mwezi wa Tisa saivi wapo wanaandaa camp bogi la term hii linachukua watu wengi sana wanaongeza maanga RTS zote mbili, ila term hii tutegemee pdf sio meseji na nikuanzia tarehe 21 next week
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.