unajisahau rasta,kila kilichopo kitakuwepo tu kwa muda,so muache anayefurahia pombe afurahi kwa sababu hata anayefurahia kunywa tu maji naye atakuwepo tu kwa muda
Ulichokiandika kweli kipo,ila maelezo ya ufafanuzi ndio umekosea,kweli kuna kundi la watu ambao hawawezi kuambukizwa virusi vya ukimwi,na sababu ni kwamba seli zao za damu hazina receptors ambazo kirusi cha ukimwi huwa kinajiattach kabla hakijaingia ndani ya seli nakuanza kujimultiply hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.