Recent content by olivier

  1. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo

    Nimekua nikisumbuka kupata mtoto,ila majuzi tu nimegundua nina ujauzito wa mwezi baada ya muda mrefu,niepuke dawa gani katika safari hii? Nahofia isitoke
  2. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo

    Ni mtoto wa pili ana miezi 2,labour ilikua ngumu na masaa mengi,na yes damu nayo ilikua nyingi
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo

    Nina mtoto mchanga ila maziwa yamekata ghafla na yanayotoka ni mepesi sana mtoto hashibi,nifanyeje yaongezeke uzito na wingi
  4. O

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

    Tafadhali wana jf msaada wa kimawazo,nilijifungua mwezi wa kumi na moja,wiki moja baadae nikiwa maliwatoni nilipata maumivu ya ghafla kichwa kikawa kinapwita na maumivu makali yaliyodumu kwa dakika kadhaa,sasa kichwa kimekua tatizo kila nikisikia kupata haja kubwa kinauma,nakosa raha.msaada wa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania hello

    hellow everybody fill me in am new here
Back
Top Bottom