Habari zenu wana jamvi.
Nauza maziwa fresh mazuri kabisa tunakamua kwenye ng'ombe wa kienyeji kwa bei ya;
Lita moja 1300
Lita tano 6500
Tunasambaza majumbani kwa wakazi wa mbeya mjini.
Tunapatikana Mbeya Forest mpya.
KARIBUNI.
😂😂😂😂maneno yanavyokutoka bi kidude, umepanic hatari, nisamehe tu Bi dada sina nia mbaya na biashara yako basi tu uchokozi umenijaaaaa napenda tu sometimes kutibua watu ila si kwa nia mbaya, sikujui hunijui tusiwekeane vinyongo visivyo na sababu, kuchambana bila sababu za msingi sio vzr.Nisamehe...
Unajifariji tu nani anunue vitu vya stoo kwa bei ya kidalali, kawapelekee washamba wenzako huko kwenye ukoo wenu,maana umasikini umewajaa ukoo mzima, jimama zima mdomo mrefu kama kunguru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.