Recent content by olenaiko

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Karagwe Blandes Gosbert, ampiga mwandishi aliyefatilia Mbunge kutelekeza mtoto

    HIZI NDIZO HOJA 10 ZINAZOMTAFUNA LOWASSA,Soma hapa kujua 1 Gazeti la Raia Mwema la Novemba 2010 , liliripoti na kuonyesha picha ya nyumba ambayo familia yako inamiliki Uingereza . Ukasema ni ya mwanao . Je, kwa nchi maskini kama ya kwetu , ni sahihi kwa kiongozi mkubwa kumiliki nyumba kubwa na...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Mkuu kama wewe unawajua wanasiasa wataje mimi nasena ninacho kijua na wewe unaweza kuongeza au kupunguza
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Swala la sukari ni pana sana, hata wenye viwanda walipohojiwa kuhusu gharama zao za uzalishaji hadi leo hawajatoa jibu. Ilitakiwa kujua gharama za uzalishaji kusudi bei ya sukari ipangwe. Pia hao hao waagizaji wa sukari ndipo want nunuzi wakubwa wa sukari inayozalishwa nchini.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Ninachokijua mimi 1.Vibali kutoka mwisho ilikua mwaka 2012 2.Kuna baadhi ya wafanyabiashara wanafanya magendo ya sukari 3.Kuna watendaji wa Tra na Tpa sio waminifu maana wanashirikiana na wafanyabiashara kufanya wizi huo 4.Viwanda vya sukari vinausika moja kwa moja maana uwa wanajidai kama...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Nimesoma na kuilewa vizuri kabisa ila Ocampo akujipanga unapotaka kudanganya uongo wako uendane na ukweli atukatai hoja ya sukari hipo lakini mada hii ya Ocampo aina ukweli
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Kyalankota jipange hoja yako aina mashiko
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Pinda Vibali vya Sukari na Umeme wa Kinyerezi

    Majibu yapo sahii hata dolla hizo ni nyingi sana pia kumbuka mtoa mada nikama yeye mwemyewe ajui alichokiandika uongo wa wazi unaonekana uwezi kusema mfadhili aliyempa pinda pesa uyo huyo anampa kinana kwa ajili ya magufuri
  8. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi. Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Mh.zitto alishawahi kuwatuhumu Mbowe na Dr.Slaa kwa ufisadi na matumizi mabaya ya ruzuku ya chama,je hatua gani zilichukuliwa na Chadema ili kupata ukweli wa hilo zaidi ya Mh. Zitto kuitwa msaliti kwa kuundiwa mazengwe na kumfukuza kwenye chama chenu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Huyo hawezi kuwa raisi alishawahi kukisaliti chama kwa kwenda upinzani dhambi hiyo lazima imtafune
  11. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015Watu wengi wanawaza kuwa yamkini EL angefaa kuwa mgombea urais kupitia CCM mwaka 2015. Kwa upande wangu naona na ninaamini hivi, Edward Lowassa hafai kabisa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwa sababu:- Tuhuma dhidi yake kuwa ni...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Kweli mkuu
  13. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Hata Edward Lowassa hafahi kabisa kupewa nchi ni fisadi(mwizi) sana yani jamaaa si muaminifu wala muadilifu tukimpa yeye atatuuza watanzania wote na rasirimali zetu
  14. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    kikubwa tuangalie sifa za kiongoz bora kwa hawa inaosemekana wamejitokeza mfano tunahitaji kiongozi mwaminifu,muadilifu,mchukia RUSHWA,mzalendo kwa taifa na rasirimali zake,mwenye hekima na busara kwenye maamuzi yake asiwe mtu wa kukurupuka katika maamuzi,mpenda maendeleo,mwenye rekodi nzuri...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Pinda na Membe Hapatoshi: Waapa kushughulikiana katika mbio za 2015

    Ni kweli mkuu hata mimi huwa najiuliza sana kwa nini Edward Lowassa anatumia mbinu mbalimbali kulazimisha kwenda ikulu,kunani?kwani inasemekana amekuwa akitumia vyombo vya habari yakiwemo magazeti kama Mtanzania,Mwananchi,The citizen,Mawio na mitandao ya kijamii kupitia vibaraka wake kuchafua...
Back
Top Bottom