Watanzania waangalieni sana hawa wanaccm na sera zao kuvuta bangi na unga halafu walinganisheni na wapinzani na sera za MITAALA YA ELIMU FEKI,MAJI, NISHATI, na nyingi nyingone je ni wapi wanafaa 2015 sijawai hona wala sikia hoja ya msingi kutoka ccm kama sio bangi,unga na pombe kama huyo jerry...
Ndugu hata bungeni penyewe hao maspika na serkali yao kuambiwa ukweli kwao ni matusi jua ilo na imesababisha mda mwingine hata wabunge wa upinzani hama kutoka au kutolewa nje ya bunge. Pia watanzania ndio wenye uchungu na rasilimali zao basi kama ngivu ya umma imepata nafasi ya kuwaambia ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.