Recent content by Olayemanya

  1. O

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Well done. Umenikumbusha enzi zetu tukiwa Sekondari. Tafadhali wenye picha kama hizi wasiwasilishe. Kuhusu mavazi, mitindo ya nywele, viatu (raizon) nk. Arusha
  2. O

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    Ndugu zangu wa Jamii Forum na wadau wanaoweza kuchangia, tatizo la ajira kwa vijana linatisha hapa nchini. Lakini leo nazungumzia vijana waliomaliza Vyuo Vikuu, ambao hawana ajira na wanazagaa kila mahali. Taifa limetumia fedha nyingi kuwapa elimu kwa mategemeo makubwa kwamba watalisaidia...
Back
Top Bottom