Kwa kutazama kwangu SERA za uwekezaji zimepitwa na wakati kwa sababu uhai wake hauonekani katika jamii ya Watanzania HASA wazawa.
Aidha wananchi hawana uelewa wowote kuhusu Mambo ya uwekezaji kwani haziko CLEAR kwa wananchi ama haziendani na uhalisia wa TAIFA
Poleni na majukumu ndugu zangu elimu yangu ni advanced Diploma in Accounting.
Natamani Sana kuwa kiongozi wa Taifa hili lakini kila nikiangalia uwezekano wa kupata nafasi nakwama kwa sababu kila Chama hakioneshi mwanga wa kuingia bila INTEREST.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.