Eti kutaka Uraisi” nonsense kabisa, sio kila Kiongozi anaetimiza wajibu wake ana mawazo hayo; wengine wameumbwa hivo, akili ndogo namna hii zimefika vp humu JF, tumezoea hili ni jukwaa la critical thinkers
Andiko linaweza kuwa na nia njema lakini limeandikwa kwa kutanguliza chuki, husuda na hasada,kwanza katika jambo la kawaida tu Mamlaka za Maji zina siasa zake, kuba tabia ya kushughulikiana, ila changamoto nilioiona hapa ni kumhusisha Kiongozi Mzalendo na mwenye maono alieonesha dira katika...
WAKANDARASI WA MIFUKONI CHANZO MIRADI YA MAJI KUKWAMA - WAZIRI AWESO
Waziri wa Maji Jumaa aweso amewaagiza maafisa manunuzi na ugavi wa wizara hiyo kuacha kutoa kazi kwa wakandarasi wa mifukoni hatua ambayo imekuwa ikikwamisha kukamilika kwa miradi kwa wakati muafaka.
Aweso amesema miradi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.