Recent content by okey

  1. O

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Vipi boss mayai ya kisasa yanapatikana kwako na kwa bei gani? mi ninachukua tray 200 kwa wiki namba yangu 0766345494 nipo charambe mianzini
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kila la kheri mkuu ucjali mwanzo mgumu lakini ipo siku pesa itakuwa inajiendesha yenyewe,kumbuka usipothamini kidogo ulichonacho hata kikubwa pia ukijakukipata utasema bado ni kidogo,mfano mzuri ni kwangu mwenyewe nilikuwa na milion moja,nikaomba msaada kutoka kwa wadau wakaniongezea kidogo(kwa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

    wanajamii wenzangu jana nilifanikiwa kuongea na mzee mmoja kutoka SIDO hapo Dar ambaye anatengeneza hizi machine,alisema kwa mashine inayoweza kukamua 200kg kwa saa,inauzwa kwa 4.5mil na unatoa order ya mwezi mmoja na nusu,hiyo bei ni pamoja na moter yake.nashukuu sana wadau
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

    nashukuru sana mkubwa ,natumai hamtaniacha katika hili
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

    kaka email yangu ni hiyohiyo ya 'ebondi@ymail.com' wala sijakosea
  6. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

    kwa sasa niko mbeya mkuu wangu ndio maana nikaja moja kwa moja kwenu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

    ntashukuru sana mkuu naomba nitumie kwenye email hii:ebondi@ymail.com
  8. O

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kwa anayejua bei za mashine ya kukamua alizeti

    Wanajamii foroum nimekuwa nikiwafuatilia sana lkn sikuwahi kama mimi kupost hoja/ombi,kwa kweli mchango wenu ni mkubwa sana katika jamii,naomba mnisaidie mwenzenu nataka kujua bei za mashine ya kukamua alizeti zinauzwa wapi na ni shilingi ngapi kwa seti iliyokamilika?
Back
Top Bottom