Recent content by Okechuku33

  1. Okechuku33

    Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

    " Mtoto ni wangu! Cause kufanana nimefanana nae kupitiliza! Ila kwa sababu kashapewa Ubini wa mtu mwingine mimi nimeamua kuachana nae tu cause mtoto hata kama umefanana nae vipi, kama mama kashakwambia si wako basi si wako huyo cause yeye ndo anajua baba halisi wa mtoto. So kama kapewa kweli huo...
  2. Okechuku33

    Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

    Niliambiwa limeandikwa Jina la Mjomba wake! Na ndio maana nilipotaka kuliona walikua wananizungusha!
  3. Okechuku33

    Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

    Ni hivi nilimuomba kadi make wangu akawa ananipigisha chenga! Na ukimuuliza anasema ni yangu! Then yeye nafkiri akamwambia mama yake kuhusu hili la kwamba nahitaji kuona kadi mana anadai aliliacha home kwao! Hapo ndo mama mkwe akatoa jibu hilo!
  4. Okechuku33

    Mke wangu anadai ana ujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine!

    Correction sikua naishi ukweni, nilikua kwangu kabisa! Sema nilikua nje ya mkoa kikazi kwa muda was mwezi mmoja! Pengine ndo alitumia hio nafasi kwenda kinyume na mimi! Pili mimi sio Khanithi! Khanithi ni mtu asiesimamisha na asie na uwezo wa kufanya mapenzi au kumuingilia mwanamke. Mimi...
Back
Top Bottom