Recent content by Ojjr

  1. Ojjr

    JamiiForums Haya jamani tufanye kazi

    Haya jamani mjionee mambo!! MTU mmoja alifariki na kwenda jehanamu. Kufika huko akakuta kuna jehanamu tofauti tofauti kwa kila nchi. Akaamua kuzunguka zunguka ili aweze kuipata jehanamu yenye maumivu kidogo zaidi. Akaiendea jehanamu ya Ujerumani. Akamwuliza mtu aliyemkuta mlangoni...
Back
Top Bottom