Siku 14! Hii inawezekana kama tu hizo mashine zinapatikana kila mkoa. Taarifa iliyopo ni kwamba inabidi ziagizwe kutoka kwa mzalishaji ambaye yuko nje. Azitengeneze kisha azilete. Hii inatakiwa miezi mitatu. Kwa hiyo vituo vingi vitafutiwa leseni. Maana ya hii ni uhaba wa mafuta. Ndiyo tunataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.