Recent content by ofmae

  1. O

    SoC04 Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye

    Nimezungumzia masomo machache ikiwa na maana baadhi ya masomo yapuguzwe na watoto wachaguliwe masomo yao mapema kwa sababu inapofikia darasa la nne, waalimu, wazazi na hata mwanafunzi mwenyewe anakuwa na mwanga wa kuwa anafanya vizuri hasa kwenye masomo gani. Kuhusu elimu ya fedha sio kila...
  2. O

    SoC04 Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye

    Elimu za shule ya msingi (masomo) ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watoto ambao hawajui maisha yao ya baadaye yatakuja kuwa upande upi, labda huenda mtoto akawa daktari, rubani, mcheza soka au michezo miingine ya sasa inayoingizia vijana kipato. Mwanafunzi wa shule ya msingi anaposoma masomo zaidi...
Back
Top Bottom