Recent content by OffOnline

  1. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Hongera sana David Kafulila kwa kazi kubwa na yenye kuonekana. Mihadhara 44, huku 34 ikiwa ya kiuchumi, si jambo dogo; ni ushahidi wa juhudi za kueneza maarifa na kujenga mjadala mpana kuhusu uchumi na maendeleo ya Taifa. Kinachostahili pongezi zaidi ni kuona kiongozi akitumia nafasi yake si...
  2. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Si sahihi serikali kutoa fedha kwa ajili ya kujenga maegesho, stendi, majosho, masoko na vyoo vya kulipia

    Serikali ina fedha zenye ukomo lakini mahitaji ya watu ni mengi. Kama mwekezaji yupo tayari kutumia fedha zake kujenga stendi ya kisasa, soko, maegesho au choo cha kulipia na kurejesha uwekezaji wake kupitia ada za watumiaji, kwa nini Serikali itumie fedha za walipa kodi kufanya biashara hiyo...
  3. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Nadhani kwa sasa ndio mtendaji anayeongoza kwa mijadala mingi Tanznaia, ahongereke huyu bwna
  4. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Impact ni elimu au maarifa
  5. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Unawaza tofauti sana.
  6. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Jamaa anajua sana vitu
  7. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Kafulila amefanya jumla ya mihadhara 44 kati ya hiyo 34 ni ya kiuchumi -Dkt Kaihoza

    Kafulila muha wa ujiji
Back
Top Bottom