Recent content by Official Mussa

  1. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Hakik Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie Dawa Asante kwa kuchangia na kuongezea neno lako ila nilitafuta suluhu bado anakua juu nikimleta kushoto anaenda kulia...baada ya ushauri hapa nimefuta namba na nimetia nia yakutomtafuta nimemuaga kwa sms tu...
  2. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Hakik Hakika ndugu yangu hata mm wamenifungua pakubwa ibakie tu skio la kufa lisisikie Dawa
  3. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Yani Humu kuna watu wanamawazo mazuri na akili zao wengi zimetulia nimefurahi kua mmoja ya watu wahii website
  4. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Nimeipenda hii ubarikiwe sana 👏👏👏
  5. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Asante sana kwa kumuokoa baharia mwenzako Ubarikiwe sana Ndugu Na Mungu akatimize mahitaji ya moyo wako 👏👏
  6. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Ndo maana nikata ushauri si vibaya kuomba kwa wengine mawazo yao
  7. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    🤣😅 dah sina mchepuo ndungu yangu
  8. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Sina cha kukulipa kwahuu ushauri zaidi nasema Asante sana ntayafanyia kazi
  9. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Asante sana mkuu nimekuelewa vizuri
  10. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Hakuna kesi kubwa ni zakawaida tu sema jambo linaweza kuanza dogo likageuka kubwa
  11. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    🤣😅 kabla ya maamuzi sijaona vibaya kuja kuchukua busara zenu
  12. Official Mussa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Asante sana kwa Asante sana kwa Mchango wako nimekuelewa vizuri
Back
Top Bottom