Recent content by Odero Charles Oderos

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) yawaandikia TEC,BAKWATA,CCT kuwaomba kuingilia kati Juhudi za Upatanisho na Maridhiano nchini

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa 9KKMK) leo tarehe 9 imeandika barua kwenda kwa Baraza Kuu la Wiaslamu Tanzania (BAKWATA),Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ,Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuwaomba kuingilia kati juhudi za Upatanisho na Maridhiano nchini ili kukwamua mkwamo...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya Kitaifa baada ya Uchaguzi 2025 - Tupo wapi na Tunaelekea wapi?

    Mawazo mazuri,juhudi zifanyike kukutanisha CHADEMA na Rais Samia
  4. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hatimaye HAKI imetamalaki kwa ODERO,Tawi la Olosiva latoa ufafanuzi kuhusu barua feki iliyosambazwa mtandaoni kwamba amevuliwa uanachama wa CHADEMA

    Naomba kukujulisha kwamba tulipokea barua yako uliyoandika tarehe 27/4/2026 na kupokelewa na mwenyekiti wa tawi tarehe 7/5/2026 ukitaka kupata ukweli na usahihi wa barua iliyokuwa na kichwa cha habari ya kukuvua uanachama wa Chadema. Baada ya kupitia barua hiyo kama uongozi wa chama tawi la...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa inawaomba CCT,TEC,BAKWATA waunde Kamati ya suluhu na uapatanisho ili kusaidia juhudi za Maridhiano nchini

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tunaomba viongozi wa Dini (BAKWATA,CCT,TEC) kuunda Kamati ili kukutana na kufanya mazungumzo na wadau Serikali,Vyama vya Siasa kwa ajili ya kufungua mlango wa Mazungumzo ya Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa.KKMK tunaamini kwamba viongozi wa dini...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutafuteni kwa bidii mazungumzo, maridhiano na muafaka wa taifa ili kuponya na kujenga taifa

    Ndugu Watanzania na wasio watanzania wenye nia njema,Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) kwa unyenyekevu na upendo tunazidi kuwasihi Watanzania kutafuta kwa bidii MARIDHIANO ili kuponya Taifa letu.Duniani koteMAZUNGUMZO ndio silaha ya kufikia muafaka na kujenga ustawi wa Taifa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia -SADC zaomba SADC pannel of elders kufanya ziara na kukutana na wadau nchini Tanzania katika juhudi za kukwamua mkwamo wa kisiasa

    Ijue SADC Panel of Elders iliyoombwa kuja kuendeleza juhudi za Maridhiano Tanzania The SADC Panel of Elders are part of the SADC Mediation and Conflict Prevention and Preventative Diplomacy structure that was established by the SADC...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Asasi za kiraia -SADC zaomba SADC pannel of elders kufanya ziara na kukutana na wadau nchini Tanzania katika juhudi za kukwamua mkwamo wa kisiasa

    Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Utulivu wa Akili, Mikakati na Mbinu bora za kisasa kuelekea Maridhiano, Muafaka wa Kitaifa na Mabadiliko ya Katiba

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anayo nafasi ya kuwezesha mageuzi ya Katiba nchini, kama tukiаmua kuwa na utulivu wa akili, mikaka

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Muswada wa mfano (Model Bill) wa sheria ya kuongoza mchakato wa maridhiano

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi Serikali na wadau wote kuona umuhimu wa kuwa na Sheria itakayoongoza Mchakato wa Maridhioano...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): Muswada wa mazungumzo ya Kitaifa, Ukweli, Maridhiano na Uponyaji wa Kijamii, 2026

    Wadau karibuni tutoe maoni kwenye rasimu ya muswada wa mfano (Model Bill): The National Dialogue, Truth, Reconciliation and Social Healing Bill, 2026. Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK).
Back
Top Bottom