Msafara wa Bodaboda uliosafiri kilometa 600 toka Mbarali hadi Dodoma, umefanikiwa kuibukia Dodoma bila kuonekana huko njiani. Hii inawezekana kama mumeamua kwenda "KUMSHAWISHI" mtanzania mwenzenu kugombea kuongoza Tanzania.
Madereva hao wa bodaboda, ambao wengi sio zao! Wanaohangaika kupeleka...
Wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu, ilikuwa ni kipindi muafaka cha kujiuliza tulikosea wapi, ili tujirekebisha na kujenga misingi imara ya Taifa letu! Misingi itakayoweka kikomo cha kujiuliza kwa nini nchi hii ina kila kitu lakini bado ni maskini?
Misingi ya kuwa na viongozi bora...
Baada ya TBC kufanya kazi yao kwa weledi uliotukuka kwa kukatisha matangazo mara tu Lisu alipoanza kushusha nondo zake, kesho ni zamu ya Tanesco.
Tanesco hawana mkataba na Bunge kwamba umeme lazima uwepo muda wote bunge likiwa hewani, na hasa hasa Lisu atakaporudia kushusha nondo zake.
Lengo ni...
Haiingii akilini kwamba wajumbe wa tume bado wana woga wa kutumia neno Tanganyika na wakajikuta wanalazimika kutumia neno Tanzania Bara. Huku wakijua kabisa kwamba huu muungano ni wa Tanganyika na Zanzibar. Ule woga wa enzi "zile" bado wanao, kwamba wataonekana wanataka kurudisha serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.