Mimi binafsi sikushauri kwasababu naona wamiliki wengi wa magari hayo wanalalamikia namna ya uendeshaji, grage mafundi wenye uzoefu spare pia upatikanaji ni mgumu ... kumbuka kuwa Subaru ni Toyota kuihangaikia ni rahisi na mafundi kibao spare zinapatikana kwa urahisi pia 🤝
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.