Recent content by obaboy

  1. O

    Vitabu vizuri vya science

    Kwa chemistry asisahau MZUMBE PROJECT FO ADVANCE LEVEL $ 1YEAR UNDER GRADUATED STUDENT
  2. O

    Topic gani Hisabati iliyokuwa inakushinda (O-level/A-level)?

    Trigonometry Advance ni Roba ya Mchana
  3. O

    Msaada, Nafasi ya kurudia kidato cha tatu

    Mlete TAQWA SECONDARY MWANZA apate elimu ya ukweli
  4. O

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    hongera kwa matokeo but kwanin wanafunzi wa sasa wanasoma bila malengo? Sasa amefauru but hajui aende wapi THIS IS FOOLISH
  5. O

    Kwa wanaohitaji shule ya private

    Shule nzuri ya TAQWA HIGH SCHOOL iliyoko mkoani MWANZA ni shule ya private yenye michepuo ifuatayo PCM,PCB,CBG,EGM,PGM,HGE,HGK,HKL, NA HGL ada ni nafuu sana fika mwanza mtaa wa GHANA kuchukua form ya kujiunga shule ni BOYS*GIRLS DAY*HOSTEL
  6. O

    Mada maalum: Ushauri kulingana na matokeo yako ya kidato cha nne(2014)

    tafuta private mapema na wala usingoje selection
  7. O

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Clinical Officer

    hongera kwa hayo matokeo C.O ni bonge la diri TANZANIA lakin bora urudie tu advance kama unao msuli ili baadae mambo yawe MURUA
  8. O

    Mwalimu wa masomo ya Arts

    ualimu TANZANIA SIO DIRI labda nenda UGANDA
  9. O

    Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

    msitusumbue humu na matokeo yenu hayo TANZANIA YA SASA NI FORM SIX; LANGUAGE BARRIER POLISI&UALIMU; FORM FOUR FELIA
Back
Top Bottom