Biashara ya real Estate ni biashara yenye wigo mkubw sana,,, Binafsi naifanya biashara hiijapokuwa katika kiwago cha chini kidogo na ninaendelea kukua katika biashara hii,,,, kwa sasa nimenunua maeneo, nimeyapimisha na nauza viwanja sasa. Oili nimeanza kujenga nyumba ambazo baada nitazipangisha...