Binafsi maelezo niliyoyapata toka kwa afisa elimu mmoja ni kwamba ; kwanza hata wao bado hawajapata hiyo mishahara isipokuwa TT imefika leo mchana hivyo imepelekwa kufanyiwa processing kwenye benki yenye dhamana ya mishahara hivyo akatuambia hadi kesho itakuwa tayari na ikishindikana...
AJIRA MPYA ZA WALIMU.
"Hili mmeliuliza sana. Natambua sana mnavyosononeka. Mimi pia sina raha kwa jambo hili. Linatushushia hadhi na heshima. Pia shule zinaathirika. Si muda mrefu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI itatangaza ajira mpya za walimu. TAMISEMI wameshakamilisha kupanga ajira mpya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.