Recent content by Nywinywi

  1. N

    Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  2. N

    Kumekuwa na vuguvugu la udini toka enzi za Nyerere, limeendelea kukua kwa kasi na lisipodhibitiwa mapema litakuja kuleta mpasuko mkubwa kwa taifa

    Toka enzi za kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi kumekuwa na utaratibu wa kupokezana vijiti kwa kuangalia pia dini ya mgombea mfano: akitoka mkristo anaingia muislam na kigezo cha pili ndiyo watu wanaangalia ushawishi na uwezo, na juu ya hayo kumekuwa na vugu vugu la kwamba kila raisi anaye...
Back
Top Bottom