MAKE OF VEHICLE =NISSAN
MODEL =TIIDA LATIO
TYPE OF BODY =SALOON
C.C =1493
YEAR = 2005
SEAT = 5
TRANSITION =AUTOMATIC
BEI NI FIXED
INAVIBALI VYOTE VYA KUTEMBEA BARABARANI HADI MWAKANI FEBRUARY
Hiyo ni report ya checkup,baada ya kuipeleka checkup ndo nikapewa report hiyo mkuu,sasa mimi siyo fundi nikaipokea report,itakua ni vizuri nikakuelekeza kwa jamaa walio fanya checkup ukaione na uulize maswali zaidi kama upo Dar.
Nimekuwa muwazi,mara nyingi najua kama mtu anataka kununua wengi...
Labda sababu Mimi siyo dalali hii gari ni yangu,angekua dalali hapo angeongeza zake juu,nauza sababu nimenunu gari nyingine hivyo hii inakaa muda mrefu bila kuendesha,sababu hua napaki tu nyumbani,mi ni mtu wa kusafiri safiri safari zangu natumia hii kubwa.
Gari nissan tiida inauzwa
Bei 4,500,000/-
Inahitaji service,kuweka Engine oil,Gear box oil,kubadilisha filter
Gharama ya fundi kwa service zote unakabidhiwa gari ni 500,000/-
picha check attachments
Gari lipo Dar,maeneo ya Airport
0629068815
Ndugu Cannabis ulianza kwa maneno shombo kama haya
Halafu baadae unageuka eti unajifanya unatoa constructive idea,tuache unafiki the first words ndo zinaelezea hisia zako
Usijifananishe na wachangiaji wa stackoverflow,kule watu wanachangia kwa kuelezea kwa code wewe unaelezea kwa porojo na...
Baada ya kuiponda sana Instagram wakati inaanza kuna Developer mmoja aliandika maneno haya,
Utpal Vaishnav, Developer & Entrepreneur
"One can classify a design as a 'bad design' when he looks at it from 'analysis' perspective.
People do not use an app or (any product for that matter) to...
Hiki kitu mkipe miezi michache tu halafu muone transformation yake itakavyo kuwa sababu hadi sasa inaonekana ni kitu kizuri ndo maana wengi mmekuja ku-coment either kwa kuboresha,kujenga,kusifia na wengine kudharau hiyo yote ni ishara kuwa ni kitu flani ambacho kimeamsha hisia.
Sasa nadhani...
Ningeona kama JF wanakutambua wewe kama expert member,ningeongea kitu ila kwakuwa JF wanakutambua kama you are just a member since 2011,Ngoja ninyamaze!
Nioneshe kazi yako ulio tengeneza nikajifunze kupitia hiyo moja kwa moja nadhani itakua bora zaidi,kuichambua yangu kwa maneno matupu sidhani tutajaza page kibao maana mimi natafsiri in practical way wewe unatafsiri in theory way!Napenda kwa hili tuwe practical zaidi,unaweza ukawa unaongea sana...
Hayo yote ni kweli mkuu,katika hangaika zangu hivyo vyote nilivifikilia na kuvijaribu,lakini kulinga na function ambazo nilikua nazitaka kuna vitu vilikua haviendi sawa kwa kutumia php?......=X,katika baadhi ya page kuna sehemu function hizo nimetumia na kuna sehemu sijatumia.
Asante sana mkuu kwa kunipa moyo,naamini kwa kushirikiana na ma-IT wenzangu wenye mouno wa kujenga zaidi tutaweza kukifikisha mbali kitu hiki,kama ulivyo sema this is just a first version ni kweli hata instagram na social media nyingine zimepitia on number of stages kabla ya kufikia hapo sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.