Nauza aluminium foil aina ya falcon za kufungia vyakula na bidhaa mbalimbali.
Kwa jumla utapata kwa laki na elfu nane kwa delivery na laki na elfu sita bila delivery.
Note: zinakaa 12 kwa kila cartoon
Naombeni mniungishe wakuu namba ya simu: 0753364510
Tupo kariakoo piga hiyo namba kwa...
Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi yanayowakabili watanzania. Masuala mengi sana yanayoikabili nchi hii hayawezi kutatuliwa isipokuwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.