Recent content by nyinda

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Hata dodoma ubuyu unakua processed hata hapa dar pia. Kila mtu na namna yake ya kuutengeneza na kila mteja ana taste yake
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Karibuni sana ubuyu bado upo na tupo wazi dukani mwenge kila siku hadi saa 2 usiku. Piga namba hizo uelekezwe vizuri. Ubuyu ni mtamu sana hutajuta kuununua
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Karibuni wapendwa ubuyu mtamu bado upo. Baba nunulia mke na watoto nyumbani kwa bei nzuri kabisaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Hiyo ni changamoto kubwa kwakweli. Hasa baada ya kupata mteja mkubwa 'shilawadu' imekuwa shiiidaa order zinachelewa sana. Ila mimi bado sijakata tamaa, changamoto hizo nazivumilia tuu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Jaribu kununua halaf utaleta majibu hapa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Saanaa. Wa Kiponda hauna pilipili vizuri kama huu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Ndio huo huo wa shilawadu. Wao wamefanya packaging mpya na kuweka label yao. Mimi nauza hivyo mtu anaweza akaufungua akafunga kwa package ndogo zaidi akauza kutegemeana na soko lake. Kwa upande wa mlaji ladha ni ileile.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ubuyu mtamu toka Zanzibar(ubuyu wa babu issa)

    Salaam kwenu wakuu! Ninauza ubuyu wa Babu Issa toka znz. Ni ubuyu mtamu sana wenye pilipili vimto pamoja na vanila. Ambao wanaufahamu watashuhudia jinsi ulivyo mtamu. Packet moja kama inavyoonekana hapo pichani ni sh 1,500 rejareja na sh 1,200 bei ya jumla kuanzia packet 30. Napatikana...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Ngozi kwa watoto wa shule wa kike na kiume

    Hiyo ni ktk kumrahisishia mteja ndio maana tunasema anapelekewa baada ya kuona samples na kuchagua inayomfaa. Duka lipo k.koo. yeyote akitaka kufika dukani anipigie simu nitamuelekeza.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Ngozi kwa watoto wa shule wa kike na kiume

    Hiyo ndo bei yake mkuu maana ni pure leather
  11. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Ngozi kwa watoto wa shule wa kike na kiume

    Sh 40,000 kila pair
  12. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Ngozi kwa watoto wa shule wa kike na kiume

    Nipo Dar es salaam kwa sasa. Viatu unaletewa popote ulipo hapa Dar es salaam ila mkoani tunatuma kwa basi ila nauli unalipia mwenyewe. Viatu ni kwa rejareja tuu hakuna bei ya jumla.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Ngozi kwa watoto wa shule wa kike na kiume

    Habari wana jamvi! Nauza viatu vizuri vya ngozi kwa ajili ya shule na hata mitoko mbalimbali(kwa wavulana) vya kike na kiume. Ni viatu vilivyotengenezwa hapa hapa Tanzania na watanzania wenzetu. Ni pure leather viatu mkataba. Bei ni sh 40,000 kila pair. Karibu tupate mahitaji yetu na...
Back
Top Bottom