Recent content by NyegereBOY

  1. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    Asanteh chief kwa ufafanuzi mzuri watu hudhani ni rahisi kufanya kila kitu mwenyewe nikazi ngumu sana kwasababu unahitaji watu sahihi kwa kila project kitu ambacho ni adimu na nadra kupata 🙏
  2. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    Hizo ndio fikra za kimasikini ulizonazo kila Moja angekuwa na mind set kama yako basi usingefahamu au kutumia product nyingi unazotumia Sasa Nimetoa ufafanuzi rahisi na vithibisho na ku offa site visiting kama huamini Karibu ushuhudie
  3. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    ikiwa Nina kampuni ya simu na kutengeneza simu nzuri basi haimaanishi nitumie Mimi mwenyewe hiyo ndio kanuni ya biashara lazima product iwafikie na wengine pia najibu swali lako hapa Mimi Bado nafanya lakini sifanyi hii peke ake nafanya na nyingine nyingi tatizo nikuwa kila shughuli...
  4. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    Hauhitaji vyote hivo unavyosema kwakuwa hii biashara hufanywa kwa muundo tofauti na biashara ulizozoea unaweza kutembelea kujionea ( mfano ni kama kusema tigo,Vodacom waweke ofisi katika kila mara )
  5. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    huduma ipo tayari inafanya kazi hivo wateja wapi pia ndiomaana nikasema hutafuti wateja nimeshaelezea huu mfumo unatumia vocha hivo kutakuwa na access ya wewe ku print vocha stationary na kuwapa mawakala waliopo kuendelea kuuza wateja wananunua vocha hivo wanawalipa mawakala wewe hela...
  6. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    hauhitaji hivo vyote kwakuwa ni antena zimefungwa kwa nyumba za watu hivo hakuna physical office kusema utahitaji leseni kwa Sasa fikiria ni kama kuweka antena za king'amuzi 11 katika nyumba 11 tofauti
  7. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    muda upo wao wanahitaji leseni ukifika ngazi ya kuhudumia Wilaya kitu ambacho kinahitaji mamilioni ya uwekezaji mkubwa
  8. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Site ya Biashara ya Hotspot( WI-FI ) inauzwa, Inahudumia watu 60-70 kwa siku,inaingiza si chini ya 900,000/= faida kwa mwezi inapatikana Dar Es Salaam

    Nina mfumo wa kusimamia na kuendesha biashara kwa wafanyabiashara,wajasiriamali,Winga na maafisa usafirishaji hivo unanihitaji muda nguvu na akili na siwezi kufanya vyote mwenyewe
Back
Top Bottom