Recent content by nyatuland

  1. nyatuland

    JamiiForums Tanzania Uongo wa serikali kuhusu kuonesha bure chaneli za ndani kuanzia Trh 05/9/18.

    Uongo star times ni karibu wiki nzima chanel zote local naona bure kabisa bila kulipia, pengine wanaachia kwa awamu kuwa na subira!..
  2. nyatuland

    JamiiForums Tanzania TCRA yapigilia msumari wa mwisho juu ya ving'amuzi!

    Naona Startimes wametii au wameanza kutii maana hapa kwangu wameziachia local channels sasa naziona buree kabisa, nb:- ni baada ya kutokulipia kwa miezi kadhaa sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nyatuland

    JamiiForums Tanzania Star times nao wamezima local channels, sijui nini kinaendelea

    Nilishaacha kulipia long time tangu mwaka jana nimeshazoea kuangalia tbc sasa!.. Karibuni wadau mtazoea tu taratibu!
  4. nyatuland

    JamiiForums Tanzania Ajali ya waziri wa utalii... Je ni vita ya ndani ama ya nje?

    [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  5. nyatuland

    JamiiForums Tanzania Tunaishi ili iweje? Na kwa nini tupo duniani?

    Hilo ni Mojawapo kati ya Maswali matano ambayo kila binadamu hujiuliza awe tajiri au maskini, nami nasubiri majibu yenu...
Back
Top Bottom