Recent content by nyashimo

  1. N

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Mimi ni mpenzi wa kilimo cha Bustani. Ninaomba kuuliza swali kuhusiana na upandaji wa miche ya mapapai. je ni ishara zipi zitaweza kunisaidia au kunipa mwanga kujua kati ya papai dume au jike wakati wa upandaji? . naomba msaada wenu.
  2. N

    Tunaomba mrejesho greenhouse agriculture

    Mimi binafsi nimetembelea kilimo cha green house kilichopo kijiji cha Nsola wilaya mpya ya Busega mkoani Simiyu. kilimo kina maendeleo mazuri sana. nawashaulini hata nyinyi mtembelee kilimo hicho mpate kujifunza. Wageni wengi wanatembelea hapo. Tupo pamoja kujenga nchi.
  3. N

    Kama Una Tabia Hizi 30 Tayari Wewe Ni Mjasiriamali, Chukua Hatua.

    Makirita Aman Tunasubiri zile tabia zingine 20 zilizobakia,tunaomba umalizie :)
  4. N

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Amazingone natoa shukrani kwa maelezo yako na sasa tayari nimeanza kuotesha mtama.
  5. N

    Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Halo Amazingone Huo mtama kwenye picha una siku ngapi toka ulipopandwa? sehemu gani nzuri kuuoteshea? ndani kwenye chumba chenye hewa au hata nje kivulini natanguliza shukrani
Back
Top Bottom