Recent content by Nyapara wa Motoni

  1. N

    PreGE2025 Sinema ya CHAUMMA na G55 ndio inaisha au tusubiri nyingine?

    Walianza kwa mbwembwe nyingi sana za kupokea “mafuriko ya wanachama” kutoka CHADEMA, wakatangaza oparesheni C4C TUSONGE MBELE itakayofanyka kwa kutumia chopa mikoa 16 kwa kuanzia huko Kanda ya Ziwa mnamo Mei 30. Operesheni hiyo inayotafsiri ‘Chaumma for Change’, itazinduliwa mkoani Mwanza Mei...
  2. N

    PreGE2025 CHADEMA mpeni Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti Taifa

    kwani hiyo nafasi ni ya kupewa au kugombea?????
Back
Top Bottom