Ukishangaa ya mussa utastaajabu ya firauni..... Nimeanza hivi ili wachangiaji wengine wanielewa huyu
kijana na dalili zote za kuwa ni wakala wa chama cha ma-freemanson kwa sisi waombaji tumeisha ona
kwa macho ya ndani jinsi anavyotumika hiyo sio spirit ya kawaida watanzania ni kwa vile...
Inamaanisha wewe umeyatoa wapi haya majungu kwani ulikuwepo na katika kikao hicho unaweza ukawa na ripoter wako wa binafsi hakikisha taarifa unayoirusha unauhakika nayo hebu tupe kazi za mkuu wa mkuakam unazifahamu vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.