Tumekua tukitamani na sisi nchi yetu iwe kama nchi za ulaya kimuonekano, kwani zina nuonekano mvuri, mandhari nzuri na mazingira safi, hata sisi tunaweza kuifanya Tanzania yetu ionekane kama nchi hizo.
Kwa ushirikiano wa serikali, wawekezaji na jamii nzima kupitia sera zenye maono na...
Kabla ya yote, nachukua nafasi hii kumshukuru allah (sw) kwa kunijaalia uzima wa afya na uhai pia kuniwezesha kushiriki katika shindano hili la kuandika andiko la kutoa mawazo ya kibunifu kuhusu Tanzania tuitakayo yanayoweza kutekelezeka ndani ya Miaka 5 hadi 25 ijayo. Nmemeandaa mawazo kadhaa...
MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI"
Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
FUURSA ZA AJIRA MTANDAONI NA CHANGMOTO ZAKE. “CHANGAMKIA FURSA KIJANA”
Uhaba wa ajira katika taifa letu la Tanzania limekua ni janga la taifa ukiangalia vijana wengi wanahitimu masomo yao kila mwaka ila nafasi za ajira ni chahe mno ambazo hazitoshelezi hata robo ya wahitimu kwa mwaka, licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.