Recent content by Nyankurungu2020

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM Dkt Asha - Rose Migiro azungumza na waandishi wa Habari - Agosti 26, 2026

    Magufuli hakuwa mwanasiasa. alikuwa mchapa kazi. Ndio maana CCM wanasiasa walimuua
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Soon italwenda kujulikana kama hayati Mkapa na hayati JPM walikufa natural death

    Kuna tetesi nimezisikia nikiwa maeneo ya Kisutu kwenye kijiwe kimoja ambacho huwa wanakaa wazee wenye habari nyeti. Kuna mpasuko mkubwa sana ndani ya CCM. Mama hakubaliki na wanaCCM zaidi ya 70%. Inasadikiwa watakinukisha soon juu ya vifo vya hawa viongozi. Sababu inasadikiwa ilikuwa ni mpango...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM Dkt Asha - Rose Migiro azungumza na waandishi wa Habari - Agosti 26, 2026

    Nilishasahau kama CCM wana katibu mkuu.
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Shoga, kila kukicha unamuwaza Magu alikuwa anakupelekea moto mpaka unaridhika.
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mpasuko ndani ya CCM unaenda kuliponya taifa letu

    WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
  6. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hili bwawa kwa uhalisia lilipaswa kuitwa Magufuli Hydro power project sio JNHPP. Nyerere alishindwa kulijenga kupigana vita visivyo na maana

    Nyerere aliacha kuangalia maendeleo ya taifa lake. Akabaki kupigana vita Msumbiji , Afrika kusini Zimbabwe N.k Magufuli akafunga mkanda bwawa limejengwa na leo hii linakwenda kuzalisha Mw 2115. Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuweza hata kidogo. Hili bwawa linapaswa kuitwa MHJPP.
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Huyo pimbi hawezi kukuelewa.
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Hawezi kukuelewa huyu pimbi.
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Wewe huwezi kuona kama alidhibiti.
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Sio kwa bei hii ya Tsh 2800/=
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    We unajibu mada kwa kuwa na chuki na mtu. Ishu ya sukari zilikuwa njama za mafisadi na alidhibiti. Ulitaka Dongete awekeze kibwege kama ilivyofanyika Bulyanhulu?
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nini kilimsibu Idugunde na kuacha kuishabikia CCM kama enzi zile?

    We unaota mchana kweupe? Mimi sio Idugunde.
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

    Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana. Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/= Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina umuhimu gani kwa Watanganyika?

    Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa. Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini. Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+ Tamasha kama hili...
Back
Top Bottom