HUU NI MTAAMO WANGU BINAFSI!
Sidhani kama kuuvunja ni suluhisho madhubuti la kuzipatia pande mbili husika yale yanayodhaniwa yanaupungufu kwa kila pande kadiri ya hoja, ambazo pia ni muhimu sana kuzichunguza kabla ya kuzijumuisha kuwa ni za watu wa upande fulani, nasema hivi kwa sababu kuna...
Wakati mchakakato wa kupitia rasimu mpya Katika Bunge Maalum la katiba huko Dodoma ukiendelea, ni nafasi muhimu kwa sisi raia wengine kufuatilia kwa ukaribu taratibu zote, ili tujue bayana yale yanayojadiliwa na kupitishwa, kwani nafasi yetu kama waamuzi wa mwisho kwa kuikubali au kuikataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.