Recent content by Nyanduzy

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    1.Buswelu Nyamhongoro via nyamadoke km9.7 ujenzi upo asilimia 90 2.Buswelu Coca-Cola via isenga km7 ujenzi upo asilimia 80 3.Buhongwa igoma via kishiri km 12 ipo asilimia 90 4.upgrading kirumba access roads kazi inapigwa bado mkuyuni mahina so yajayo yanafurahisha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    ***** kama upo Afghanistan aisee
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kitu hulijui na unapaswa kukijua ni kwamba Mwanza CBD ina majengo mengi ya NHC, na mpango ni kuyavunja yote na kujenga mapya kwa sera ya UBIA, hii ipo Dsm na Mwanza kwenye majiji ya biashara, Dsm mpaka sasa kuna site 66 zinakula nyundo na mwanza kuna site 36 zimepata watu na site 18 zinakula...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Duuuuuuh, kuna shughuli inapigwa sio mchezo kwa majiji kama mbeya, Tanga CBD ya kirumba inawamaliza bado Buswelu upcoming CBD kali sana, tena huko ni kama ulaya, kote kumepangwa na Raia wapiga mahekalu ya hataree
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hatari sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Endelea kujifariji ndio na hapa tupeane miaka 5 utakua umepata jibu, Mda huu kuna site 9 za NHC ubia ndani ya CBD zinakula nyundo, Angle yenu ya kujifichia Dodoma ni high way tu nazo mda wenu unahesabika mnakula za uso
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Tunakoelekea Kirumba na Buswelu zinaenda ku battle na baadhi ya miji ya hapa Bongo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Mwanza haijawahi kupoa kwenye construction ya majengo
Back
Top Bottom