Recent content by Nyandajr10

  1. Nyandajr10

    Hanspope amezidi kutuonyesha safari ndefu tuliyonayo

    Na Brayan Nyanda Baada ya mechi ya watani wa jadi iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa sare ya goli 1-1 Aliibuka mmoja wa wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya simba na mwenyekit wa zamani wa kamati ya usajili Simba Zachariah Hanspope na kuwatuhumu baadhi ya wachezaji...
  2. Nyandajr10

    Mchezo wa watani wa jadi November 7, 2020

    Naam Hatimae November 7 iliyosubiriwa kwa muda mrefu Hatimae imewadia ni mechi kubwa inayobeba hisia za wapenda michezo wote nchini pamoja barani Africa kwa ujumla. 📍Ni mchezo wa nne unakutanisha timu hizi katika mwaka huu wa 2020 Kwa Mara ya kwanza mwaka huu timu hizi zilikutana January 4...
Back
Top Bottom