Recent content by Nyanda O_mbassa

  1. Nyanda O_mbassa

    Naomba ushauri kuhusu kilimo, nilime matikiti au nyanya?

    Daah mkuu imeniuma sana huyu jamaa, nimesoma hii thread mpaka nikaone bora nikupe pole kwa kupambana kuelekeza wajinga. Huyu jamaa sijui yuko dunia ipi, ni si maskini wa pesa tu, bali kinginecho hakijui, na hajui kama hajui. Ndiyo namna wa Tz tunapenda kuishi, kakuzwa na kikalilishwa mambo...
  2. Nyanda O_mbassa

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Mkuu, binafsi nataka kutinga kwenye hiki kilimo, japo sijapata taarifa zaidi kuhusu njombe. Nataka kulima Arusha, labda kama kuna wadau wanajua zaidi kuhusu hii mishe kwa pande za njombe tunaomba msaada watujuze tujifunze zaidi
Back
Top Bottom