Recent content by Nyamuleha jr

  1. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Naona redio one mmegusia hii mada asubuhi ya leo nilikuwa nasikiliza naye,nikamwambia wanaume wenye matatizo kama haya tupo wengi Tanzania bahati yangu kunavitu nilipindisha kidogo hivyo hajaelewa vizuri .. kulingana na michango na maoni ya wengi, nimeamua kuendelea nae, ila yupo kwenye...
  2. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    amerudia hii ni mara ya 3 mtoto, why kuendelea kuishi na mtu ambaye anaona sina hadhi ya kuwa baba mtoto wake ili hali anahitaji ni muhudumie mwanae kwa kila kitu
  3. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Punguza hisia,kisha tazama uhalisia, nilikua tayari kuwa naye tokea mwanzo ila kwa makubaliano na yeye ndiye wa kwanza kuvunja makubaliano!
  4. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    alimkimbia alipo kuwa na ujauzito akamrudia mtoto alivyokuwa na mwaka akaishi naye miezi minne akamkimbia tena na yeye alishaoa na ana watoto wa nne hivyo single mother wangu hataki kabisa kumwachia mtoto anasema kuliko amwachie mtoto ni heri aondoke
  5. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    ndiyo nitahudumia, mshikaji wa kwanza huwa akipiga simu anadai mtoto, ila hataki kutuma ela za matumizi ,na zaidi anatishia ataipata damu yake kwa gharama zozote.
  6. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    mimi nipo tayari kumuhudumia mwanangu kwa kila kitu au hata kubaki naye
  7. Nyamuleha jr

    Nimeamua kumuacha sababu siwezi kuingia gharama za kumsomeshea mwanae wakati babaake anadunda mtaani

    Nimeishi na huyu mwanamke kwa miaka miwili na nimezaa naye mtoto mmoja mwenye miezi 10 sasa. Kilichonipelekea mpaka kutaka kuachana naye ni yule mtoto wake wa kwanza amekaribia kuanza shule. Nashindwa kuingia gharama za kumsomesha wakati aliyezaa nae anadunda tu mtaani. Pili huyu mtoto kila...
  8. Nyamuleha jr

    Ni kosa gani hutalisahau katika mahusiano yako?

    o sahau nilipogundua demu wangu anauhusiano wa kimapenzi na kijana mmoja wa jirani baada pia ya kugundua alipewa smartphone bure na jamaa na akawa anapigwa picha na huyo jama (zakawaida na hadi leo ni nazo) na nilivyo kuwa na muuliza alinijibu jeuri sana, nilivumilia sana bila kufanya lolote ila...
Back
Top Bottom