Recent content by nyamoni40

  1. N

    JamiiForums Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

    Msaada wenu wakuu,kama mtu alishawahi kutumia zikamsumbua na baadae akapata suluhisho akapata mtoto,tafadhari tufahamishane
  2. N

    JamiiForums Matumizi ya madawa/vitanzi vya kupanga uzazi ni hatari

    Habari wadau, Mimi nimeoa na tumebahatika kupata watoto wawili katika ndoa, baada ya hapo tuliamua kutumia njia za kupanga uzazi(kitiji) kwa sababu kadha wa kadha, ni kweli tulifanikiwa kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili na miezi saba. Baada ya hapo ukawa ni muda muafaka kupata mtoto tena...
Back
Top Bottom