Recent content by nyambaterito

  1. nyambaterito

    Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

    Duuuh!! pole.Unajua hivi vitu vipo serious japo kuwa watu hawavioni direct.
  2. nyambaterito

    Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

    😀😀 eti dini za vibwengo.Ni zipi hizo nijuze na mimi nizijue.
  3. nyambaterito

    Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

    Hata huku kujiuza,mtu anaye wamiliki hao wanaojiuza kwenye madangulo huwa wanabaguliwa pia.
  4. nyambaterito

    Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

    kweli kabisa naungana na wewe.Tukitaka maendelea basia hatunabudi kupiga marufuku Vigezo hivyo
  5. nyambaterito

    Dini isiwe kikwazo cha mtu kukosa kazi. Kumbuka Mungu haangalii dini ya mtu

    Kuna Mungu kabla ya Dini. Tusibaguane. Moja ya changamoto ambayo ukiiangalia kama haina mashiko makubwa lakini ni moja ya vitu ambavyo watu wanakumbana navyo katika nyanja mbali mbali katika maisha ya kila siku. Hasahasa pale linapokuja suala la ajira iwe binafsi au serikalini. Najua kwenye...
  6. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Duuh! Pole sana.Ila kwa kweli hili swala lina keraa mnoo.Lina ghalimu maisha ya watu
  7. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Mungu akulipe kwa wema wako🙏
  8. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    sio sawa.Unajua katika Nchi yetu kuna watu au kazi ambazo hawatiliwi maanani kabisa kama Ualimu na daktari yaan Elimu na Afya,wanazichukulia ize ize saana.
  9. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Kweli hii haipo sawa.Kama kuna suala la kimakosa kafanya,apewe.kwanza huduma huku mambo ya uchunguzi yanafuata kama akionekana na makosa si basi akitibiwa atawajibika.Lakini utakuta Daktari anakazia yaan mpka inakuwa kero.So sad wabadilike kwenye hili suala
  10. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Na hili ndilo nalojaribu kuliangalia.Maana utakuta mtu kaja may be na mzazi au ndgu pale wanajaribu kumtolea maelezo lakini bado mtu haeleweki unaambiwa hautibiwi mpka Pf3😓 So sad,Inaghalimu maisha ya mtu kwa kitu ambacho sizani kama kina umuhimu saanaaa.
  11. nyambaterito

    Kutotibiwa kama umepata ajali mpaka uwe na PF3 ni sawa?

    Ni kwl nakuunga mkono.Vituo viwepo ili kurahisisha mzunguko mkubwa ambao unagharimu mda mwingi mpka kupelekea mgonjwa kukosa matibabu ya mwanzo.
Back
Top Bottom