Recent content by Nyamaninyama

  1. N

    Utofauti wa majina yangu kwenye vitambulisho umepelekea nishindwe kupata mafao yangu, nifanyeje?

    Nssf hawataki vyeti vya shule so hakuna shida .Issue ni Nida na Taarifa za Nssf zifanane na pia ata kama zinatofautina kuna viapo tu
  2. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Mwaka 2017 alikuwa na Total ya walimu 200 sekondari na 100 Primary na Supporting staff Zaidi ya 100.. average mwl wa sekondari 1.5 lakini kulikuwa na mishahara mpka 4M pm. . alibeba kila Mwalimu mzuri aliyekuwa anaambiwa yupo Dar au ata mkoani. Mishahara zaidi ya milioni 500 kwa mwezi ilifanya...
  3. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Wali na nyama Tusiime ni nadra sana ndugu..Moja ya sababu ya wanafunzi kukimbia ni chakula
  4. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Kuna mzazi anasema mtoto wake alipelekwa Ofisini kwake kisa Ada na wakamuacha getini kwa walinzi 😂
  5. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Mzee kasome vizuri hii ni Ya Sept 2024 judgement na mpaka inakuja Tayari amefanya default tena Na Ukipitia nimetoa majibu..Issue ya mnada ni suala ambalo lipo Na ata alijaribu kuuza shule Kwa Global Education Link mwaka Jana ila malick akachomoa baada ya kuona Status ya madeni..kuna kesi zipo...
  6. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Nimepata kutoka chanzo sahihi sana ..kuna vita kubwa sana ndani ya familia na mengi tutayajua..kuna Walimu walifanyiwa matendo mabaya sana wakati wa corona nadhani maombi yao yameanza kujibu...sisi wengine ni vijumbe tu
  7. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Hapo wote ndio mnapokosea..Matatizo yalianzia baada ya corona alipogoma kulipa Walimu na Walimu karibu 20 waliondoka na kesi nyingi mahakamani.....Na ile Hali ikaendelea mwaka unafuata Walimu wengi waliondolewa baada ya kulipwa hela za Corona za miezi miwili Na ndipo anguko likaanza...
  8. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Mmiliki wake ni Albert Katagira ..ni ndugu tu wa mbunge wa zamani
  9. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Wananchi mmegoma kabisa mnataka apambane na Hali yake...
  10. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Kuna maskini wenzetu wengi wanategemea kupata mkate hapo
  11. N

    Tusiime Holding inaweza kupigwa mnada kutokana na madeni yanayowakabili

    Hizi first class schools chakula wana outsource na ndio maana ukiwa na shule hizi alafu misosi ya hovyo unakimbiwa....Shule kupoteza wanafunzi 3000 ndani ya miaka 4 ni hatari sana.. Angalia Green Acres, esacs,St Mathew, St Marys ..hizi zote zimepitia majanga makubwa sana
Back
Top Bottom