Recent content by nyakyusa

  1. nyakyusa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    baadhi yao hata kula ni shida.
  2. nyakyusa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu vijana walio wengi ni wajinga wahindi na wamachame wanazidi kutajirika.
  3. nyakyusa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu wengi wanatoa harufu ya kutokufua nguo yaani wako bize utadhani ni wahasibu.
  4. nyakyusa

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwa sasa nipo gallsport ya kariakoo kamata hapa ghorofani baadhi ya vijana wamechoka ile mbaya hadi nawaonea huruma.
  5. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    kwa hiyo mpaka naishika mkononi samahani baadhi ya vitufe vya compyuta vimeharibika ndio maana alama ya kuuliza na herufi kubwa kutoonekana.
  6. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    kwa hizi gharama kuna malipo mengine ya ziada kama vile kodi na megineyo naomba ufafanuzi.
  7. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    mkuu hakuna kutapeliwa baada ya kulipia bank.
  8. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    ofisi yako inapatikana wapi mkuu nije kulipa cash.
  9. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    nataka kuja ofisini moja kwa moja kama inawezekana.
  10. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    nikilipa nusu baada ya kupata didhaa ndipo nimalizie.
  11. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    mkuu niwekee hapahapa wala hakuna shida.
  12. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    nipe maelezo namna ya kulipia bidhaa.
  13. nyakyusa

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    mkuu tuachane na used kwa mpya nitaipata kwa njia gani nipatie maelezo toshelezi.
Back
Top Bottom