Recent content by Nyaku

  1. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Watumiaji wa TTCL sasa hivi wanafurahia, MaGB ya kutosha
  2. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Tatizo Baharia wa Buza unachuki mbona vifurish vipoi vyenye MB za kutosha,
  3. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mimi mzalendo kaka, hizo ni changamoto tu ambapo zinafanyiwa kazi na wahusika.
  4. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    akili za kizwazwa sana TTCL wanatoa 10GB kwa 1000 Halotel wanatoa 10GB kwa 1500 Nani zaidi???
  5. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Benhorta, Sijakuelewa hoja yako nn hasa hapa?
  6. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Unalipwa kiasi gani??? wenzako tunatumia TTCL tunaenjoy sana kwa taarifa yako kwa 1000 napata Dk 100 for five days, ww endelea na majungu yako ndio maana unenepi
  7. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mkuu wao wa Masomo ndio kitu gani???? andika vizuri
  8. Nyaku

    Tabata Kimanga hakuna mtandao wa TTCL

    ukiwa na 3G data na voice unapata kwa spidi hile hile
  9. Nyaku

    Tabata Kimanga hakuna mtandao wa TTCL

    Mikoani ndio iko poa sana. network iko full
  10. Nyaku

    Tabata Kimanga hakuna mtandao wa TTCL

    Acha zako, mm naishi kimanga na network napata acha kuchafua mtandao
  11. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Hujui kitu, nitafute nikupe DARASA kidogo
  12. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kaka naona uko kwenye payroll ya other operators, unalipwa bei gani>>??
  13. Nyaku

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kaka Baharia wa Buza jenga hoja, kumbuka na ww umezaliwa na Mama. Kutukana Kinamama unamdhalilisha pia Mama yako, Dada zako, shangazi zako
Back
Top Bottom