Recent content by nyakato junior

  1. N

    I Miss you very much

    pole sana my dear, i can feel your pain because iam facing the same situation, i also lost my lovely mama some years back
  2. N

    Ushauri kwa wadada single

    asante kwa ushauri wako mzuri, noted.
  3. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    ww ndio umeelewa nilichokuwa nasema na ni mtafiti mzuri.
  4. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    unakurupuka tu, ww ni muhaya? waulize wahaya wakueleze maana ya nyakato na nilifafanua why nimejiita hivyo
  5. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    asante kwa ushauri wako, nawashangaa badala ya kunishauri wananishambulia, nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi. Mungu akubariki
  6. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    kwa jinsi nilivyokusoma nahisi ww ni mwanaume na una tabia ya kutoka na wanaume wenzio na ndio maana unadhani kila mtu yukokama ww, nimekueleza mm mtoa mada ni ke sasa ambacho huamini ni nn?
  7. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    wewe wasema kwa vile haijakutokea, for sure huwezi kujuanaumia kwa kiasi gani, ila najua ipo siku haya machozi yote yataisha, and i know time heals so ikishindikana as time goes i wl be okay
  8. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    Ukiambiwa itakusaidia nn? mawazo yako tu ndio yanahitajika na nimeshaeleza incidence ilivyokuwa so Sidhani kama kuna ulazima wa ww kutaka kuifahamu hyo ID na ndio uchangie mada.
  9. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    Nimesema mhusika mwnyw anaijua hyo id na post nilizotuma zilizo muudhi full stop. wengine mnaruhusiwa kutoa mawazo yenu tu na sio ku assume assume
  10. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    hapo ndio tunaposhindwa kuelewana, nimeeleza kuwa nilijaribu kuingia kwny ile ID yangu ya zamani iliyoleta kash kash nilishindwa kwani niliambiwa invalid id or pass so nikafuata procedure na nikatumiwa new pass kwny email yangu na nikaitumia hyo kuingia tena kwny ile ID ikagoma so nikaamua...
  11. N

    I LOVE U BUCHANAGANDE AND AM SORRY FOR EVERYTHING!! plz plz FORGIVE ME

    Nilishindwa kum-pm maana id hii ni mpya mpaka utume post kadhaa ndio unaruhusiwa kutuma pm. Endelea kuamini uaminivyo but ukweli ndio huo niliosema.
Back
Top Bottom