KISWAHILI KINATAMBULIKA KAMA MOJA YA LUGHA RASMI YA MAWASILIANO KATIKA UMOJA WA AFRICA (KISWAHILI RECOGNIZED AS ONE OF THE OFFICIAL COMMUNICATION LANGUAGES OF AU):
Baada ya Mhe Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia lugha ya Kiswahili kuhutubia wakati wa uzinduzi wa Jengo la Amani na...
NI UPOTOSHAJI WA HALI YA JUU DHIDI YA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA BINAFSI:
Ndugu zangu hakuna mahali popote pale ambapo serikali ya awamu ya nne ilipinga suala la wawekezaji wazawa kwenye sekta ya gesi asilia kama ambavyo inaenezwa na baadhi yetu. Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wakati huo...
Mtoa Hoja unapotosha uma:
Dr Sware Vicent Semesi (PhD) is the daughter of late Professor Adelaida Kleti Semesi (1951-2001) who was scientists on Mangrove Ecosystem at Department of Botany, University of Dar es Salaam. She is the Lecturer too at Department of Aquatic Sciences and Fisheries...
Shinji ni kweli kabisa kumekuwepo kwa ucheleweshaji wa ukamilishaji wa miradi ya umeme vijijini (REA), mara ya mwisho kabla Prof Muhongo hajatoka wizarani alitoa maelekezo kwa wakandarasi wote wanatekeleza miradi ya umeme na makubaliano ilikuwa tarehe 30 Juni miradi yote iwe imekamilika. Bila...
JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI, WILAYA YA MUSOMA-MKOA WA MARA
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Mhe Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo ameibuka mshindi katika kura za maoni ndani ya CCM kwa kupata ushindi wa kishindo katika kata zote 21 za Jimbo la Musoma vijijini ambapo matokeo kamili ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.